Babu Tale Anena Kukerwa na ‘Vita’ ya RC Makonda na Ruge

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Meneja wa Tip Top Connection, Babu Tale ametoa dukuduku lake baada ya Mh. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kuwakuanisha Mkuu wa Dar es Salaam, Paul Makonda na Mkurugenzi wa vipindi Clouds Media Group Ruge Mutahaba kuwataka wamalize tofauti zao.



Tale Kupitia mtandao wa Instagram, ameandika kuonyesha amefurahishwa na hatua hiyo iliyofanyika Mkoani Tanga katika uzinduzi wa Mradi wa Bomba la Mafuta.

“Kama kuna vita ilikua inanikera ni vita hii mmoja Mlezi mwingine mdau mkubwa kwenye kazi yetu basi hata aujui lakufanya mwisho wasiku unaishi kuumia kinyemela. Haya mzee kasema kashikaneni mikono hii inamaana mje tuijenge Dar.”

Na Laila Sued
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad