Je Shamba Kubwa Ambalo Halijaendelezwa ni la Sumaye Pekee?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Je shamaba kubwa ambalo halijaendelezwa ni la waziri mkuu mstafuu sumaye pekee?
Dhambi hii ya kumnyanganywa mh sumaye shamba lake,ambalo alitumia kiunua mgogo chake kulinunua kwa haki kabisa kama mtanzania mwenye haki ya kumiliki aridhi,haitatuacha salama
Mh sumaye alinunua haya mashamba kipindi yanauzwa bei nzuri,kwa faida yake ya baadaye,haya mashamba wakati sumaye anayanunua kila mtanzanaia alikuwa anaweza kununua,ilimradi awe na maono ya mbali,na ajue dhamani ya Aridhi,kumbuka miaka kumi 15 iliyopita Eka moja ya shamba maeneo ya mwambwe pambe ekari ilikuwa inauzwa sh lk 3 tu,na kwa garama hiyo mtu mwenye hadhi ya uwaziri mkuu asingeshindwa kununua erkari 33 kwa malengo yake ya baada ya kustafu
Swali linakuja kwanini mh sumaye anyanganye shamba lake halali?tena ananyanganywa shamba lake kukiwa na kesi mahakamani?

Je serekali ya awamu ya tano inadharau mahakama kiasi hiki?kwanini serekali imefikia hatua kubwa ya kuzarau mahakama kiasi hiki?majaji wetu wanajisikiaje?kusikia maamuzi yanafanya na serekali kabla kesi iliyoko mahakamani haijaamuliliwa?

Kuna kila sababu ya jambo la Mh Sumaye kuwa mfano mbaya wa serekali ya awamu ya tano,kuvunja katiba,kutokuheshimu sheria za nchi,na kukandamiza demkrasia ya vyama vyingi,hakika dhambi hii itazaa mauti
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yeye yuko kwenye midia si alikuwa kiongozi mkubwa, ndio wakajitwalia wanavyotaka wao, mpuuu na kuwachaa wanyonge wakisononeka, Yaani huyu baba ilikuwa kidogo tu ataaumwr kidole yeye kutibiwa ulaya, Mijitu kamaaa hiii ilibatika tu kuwa viongozi wakati walikuwa hawana karama za uongozi, ajilimbikizia ardhi kila kona mmmh, na kuwacha wenyeji wa sehemu hiyo wakitabikaaaaaa

    ReplyDelete
  2. Hivi wewe mtoa mada ni Mtanzania?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hivi Wewe, unauliza ujinga , Mtanzania au Sio Mtanzania inakuhusu Nini? Au ndio lille kundi la mafisadi, mabepari, wanyonyaji, kuwaonea wanyonge kutumia madaraka vibaya, kwa jina la Mtanzania, watanzania hawajalala sasa wengi wameshahamka, Nadhani Wewe bado uko kwenye usingizi, na ndoto zako za mchana mchana, huyu baba alitumia madaraka vibaya, na Hilo linaeleweka Wewe kaaa na ujinga ujinga wako wa kitanzanina, karaga bahooo weeeeee!!!! Na ndio ishatwaliwa, alijitwalia nayo imetwaliwa serikali ya Sasa haitaki ujinga ujinga

      Delete
    2. Hujaelewa swali limelenga nini, soma vizuri usikurupuke kujibu. Angalia alivyochapia lugha na mntiki isiyo kidhi inayoonesha fika anatetea uozo wa huyo Sumaye kukwapua ardhi upo?

      Delete
    3. Nimekuelewa tupo pamoja,

      Delete
  3. Sisi tunayahamu ya Sumaye, wewe ndio tuambie nani nwingine hajaendeleza mashamba.

    ReplyDelete
  4. Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Magufuli haiangili sura,rangi,kabila,chama,wadhifa wa mtu,udugu au uwezo wa mtu. Ukihusika na ubadhirifu sheria itakufuata na kushitakiwa kwa mujibu wa sheria. Nashangaa mwandushi anahoji kwanini Sumaye kanyang'anywa shamba,tulitegemea watu na waandishi wa habari waihoji serikali kwanini Sumaye aishie kunyang'anywa shamba tu na kwanini asishtakiwe? Hapana shaka Sumaye alitumia madaraka yake vibaya kwa kujilimbikia mali kwa kupitia madaraka aliokuwa nayo kama waziri mkuu. Yusufu Manji ni mwanachama na diwani wa CCM alinyang'anywa shamba pale koko beach na haikuishia kunyang'anywa shamba tu bali alichimbwa zaidi na hatimae kuishia jela. Suali ni kwamba kwanini Sumaye aishie kunyang'anywa shamba tu na kwanini asishtakiwe?

    ReplyDelete
  5. Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Magufuli haiangili sura,rangi,kabila,chama,wadhifa wa mtu,udugu au uwezo wa mtu. Ukihusika na ubadhirifu sheria itakufuata na kushitakiwa kwa mujibu wa sheria. Nashangaa mwandushi anahoji kwanini Sumaye kanyang'anywa shamba,tulitegemea watu na waandishi wa habari waihoji serikali kwanini Sumaye aishie kunyang'anywa shamba tu na kwanini asishtakiwe? Hapana shaka Sumaye alitumia madaraka yake vibaya kwa kujilimbikia mali kwa kupitia madaraka aliokuwa nayo kama waziri mkuu. Yusufu Manji ni mwanachama na diwani wa CCM alinyang'anywa shamba pale koko beach na haikuishia kunyang'anywa shamba tu bali alichimbwa zaidi na hatimae kuishia jela. Suali ni kwamba kwanini Sumaye aishie kunyang'anywa shamba tu na kwanini asishtakiwe?

    ReplyDelete

Top Post Ad