Mahakama Nchini India Yapiga Marufuku Talaka ya Kiislamu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mahakama Nchini India Yapiga Marufuku Talaka ya Kiislamu
Mahakama ya juu nchini India imeamua kuwa talaka ya mara moja katika dini ya kiislamu ni kinyume na katiba, uamuzi ambao umekuwa ni ushindi mkubwa kwa haki wanawake.
India ni moja ya nchi chache ambapo mwanamume muislamu anaweza kumtaliki mkewe kwa kutamka neno talaq mata tatu.

Uamuzi huo wa mahakama unafutia kesi zilizokuwa zikipinga talaka hiyo.
Kesi hizo ziliwasilishwa mahakamani na wanawake watano waislamu waliokuwa wamepewa talaka kwa njia hiyo pamoja na na makundi mawili ya kutea haki.

Miaka ya hivi karibuni visa vingi vimeibuka ambapo wanaume waislamu huwataliki wake zao kwa kutamka neno talaq mara tatu, kwa njia ya simu au kwa kutuma ujumbe ya sms, kupitia WhatsApp na Skype.

Licha ya njia hiyi ya kutaliki kutumiwa kwa miongo kadha hiajatajwa popote pale kwenye Sharia au Koran

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hio ni sheria ya kiisalamu mabaniani hindus fateni dini yenu na waislamu wafate dini yao vp tena muingize dini na siasa haitoshe ya mahari lazima aipe mwanamke sasa tena ya talaka munaingilia munatapata misukosuko mingi kutoka kwa Allah subirini

    ReplyDelete
  2. hio ni sheria ya kiisalamu mabaniani hindus fateni dini yenu na waislamu wafate dini yao vp tena muingize dini na siasa haitoshe ya mahari lazima aipe mwanamke sasa tena ya talaka munaingilia munatapata misukosuko mingi kutoka kwa Allah subirini

    ReplyDelete

Top Post Ad