Mashabiki Wamshambulia Mobetto Baada ya Kuweka Picha ya Tumbo lake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA





Mashabiki Wamshambulia Mobetto Baada ya Kuweka Picha ya Tumbo lake
Hamisa Mobetto anaendelea kupost picha zinazoonyesha tumbo lake la ujauzito lilivyokuwa kabla hajajifungua wiki iliyopita.



Mlimbwende huyo wa Tanzania, amepost picha mbili katika mtandao wa Instagram akiwa amevaa “kufuli” huku tumbo lake akiwa ameliacha wazi kitendo ambacho baadhi ya mashabiki wameonekana kutokifurahia.



Missing my baby bump 😰🤰🏽.. By the way Happy one week my handsome 👑 @tanzanian_baby . @buoart shot it 🔥,” ameandika kwenye picha hiyo hapo juu ambayo ameiweka katika mtandao huo.

Hizi ni baadhi ya comment za mashabiki katika picha hizo.

am_ommy: Ni kujizalilishaa hukoo nyie wasichana

kushokahassan: Yaani mi naona ni ujinga tu sa si bora ungekaa uchi kabisa tukaona na iyo ….

sashamchomvu96: ovyoo kweli sielewi wanawake wanaofanya upuux uo

kidafu: Ovyooooo mwanamke huna Ata aibu mimba TUNU? Kujitia mikosi buree
richardisgodbles😍😍

ibrahtib: dah! picha zingine aibu tupu


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani si lazima ampe plesha Zali!!! hongera mama.

    ReplyDelete
  2. muacheni mbn wengine wakionyesha mitumbu na miziwa na mitako hamusemi leave her alone kama dhambi anajua ni zake sobkila mtu ana uhuru wakufanya anachotaka na nyinyi onyesheni yenu binamu hamuishi maloloso

    ReplyDelete

Top Post Ad