Mubenga Amshauri Ommy Dimpoz, ‘Watu Wanataka Video ya Cheche na sio Matusi Kwa Diamond’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mubenga Amshauri Ommy Dimpoz, ‘Watu Wanataka Video ya Cheche na sio Matusi Kwa Diamond’
Ujumbe wa maqneno mazito aliouandika Ommy Dimpoz ambao unadai kumlenga Diamond wamshtua Mubenga.

Mubenga ambaye aliwahi kuwa meneja wa Dimpoz na pia ni mmiliki wa kampuni ya Bengar Entertement, ameonekana kukerwa na na maneno ya Ommy ambayo ameandika kwenye mtandao wa Instagram Jumatano hii.

Kupitia mtandao wa Instagram, Mubenga ameandika

“Omary mdogo wangu maandiko yanasema waheshimu wazazi upate heri na Miaka mingi duniani na mzazi sio mpaka akuzae ata mzazi wa mwenzio pia ni mzazi wako why unamuingiza mama naseb kwenye mambo yenu? Uko ni kukosa adabu wew si unajifanyaga innocent kwa watu kumbe una pretend? Wew sindio uliyeimba nani kama mama imekuwaje leo una watusi wa kina mama? Au ndio stress za Mziki? Watu wanataka video ya cheche na sio kutusi wazazi wa watu usituaribie muziki wetu kama game imekushinda please kaa pembeni pia naomba vyama vyenye dhamana ya muziki vichukue atua kali zidi ya matusi ya omary kwa mama wa diamond ili iwe fundisho kwa wengine ya kwangu ni hayo tu! #supportedbybangerzent #Mazoea link kwenye bio yangu #TUWAHESHIMUWAZAZIWETU.”

Na Laila Sued
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. acha unafiki MUBENGA. wakati Domo anawatukana Ommy na kiba hukuona? au ndo kujipendekeza.

    ReplyDelete
    Replies
    1. yaani wewe anonymous wa 15:56 ni mjinga sana, sasa huyo Daimond kamtusi mama yake ommy au kawatusi wao kama wao? usilete ujinga wako hapa na inaonekana hata mama yako unamkosea adabu likiwemo swala zima la kumtusi, nyinyi ndo mnaovuta bangi na kulazimisha mapenzi na mama zenu mshenzi mkubwa na adabu ikushike bwege wewe

      Delete
  2. yeye si anamdomo mkubwa wa matusi. sasa kurudishiwa inauma eeeh. well done Ommy

    ReplyDelete
    Replies
    1. wa kwako ni wa chuchunge? mama yako akitukanwa utafurahia? koma kama ulivyokoma ziwa la mama yako acha kutukana mama, kwani mkichambana nyinyi pasipo kuwaingiza akina mama mtapungukiwa na nini, kufurahia ujinga aliofanya ommy ni kuonyesha umburura wako na ulivyolaaniwa na mama yako

      Delete
  3. Kumtusi mzazi sio kitu poa. Nyie mnaona support nadhani hamjui uchungu wa mzazi.

    ReplyDelete
  4. mugombane wenyewe tu lakini na huyu diamond usiwe mchokozi unaanza haya sasa yamekushinda sio vizuri hivo wakanye wote mbn diamondi hukumwambia ma yeye ndie alieanza be fair

    ReplyDelete
  5. kwasababu unam mind Domo lazima umtetee, au hufatilii alokuwa anavyowatukana Ommy na Kiba? acha usenge Anony 16.34. hata wewe una mama na anaweza kutukwana kama utajiingiza kwenye tundu ya kinyeo chao. Afriit mwana kumanyoko wewe na Domo.

    ReplyDelete

Top Post Ad