Ommy Dimpoz Aamua Kuonyesha Busara Afuta Post ya Iliyoleta Gumzo Mitandaoni Akiwa na Mama Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ommy Dimpoz Aamua Kuonyesha Busara  Afuta Post ya Iliyoleta Gumzo Mitandaoni Akiwa na Mama Diamond
Gumzo kwenye mitandao ya kijamii ni ishu ya Ommy Dimpoz kuamua kuifuta post yake aliyoiweka kwenye Instagram ikiambatana na picha yake akiwa na mama Diamond jambo ambalo lilitolewa maoni sana na Watanzania.

Miongoni mwa mastaa ambao hawakuupenda ujumbe huo ni pamoja na meneja wa zamani wa Ommy Dimpoz Mubenga, Aunty Ezekiel na hata Dada wa Diamond ambaye aliweka comment moja kwa moja kwenye post hiyo akimkanya Dimpoz kutomuingiza mama Diamond katika ugomvi wake na Diamondi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad