Serikali Yanyakua Ardhi Nyingine ya Aliyewahi Kuwa Waziri Mkuu, Frederick Sumaye

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kama alivyoahidi kwenye kampeni kwamba waliohodhi mashamba makubwa na kushindwa kuyaendeleza wajiandae kuyarudisha ,Rais Magufuli amefuta hati ya Shamba jingine la Waziri Mkuu mstaafu Sumaye.


Ikumbukwe pia kuwa utaratibu huu wa kuhodhi hadhi bila kuziendeleza imekuwa ni mojawapo ya chanzo cha migogoro ya ardhi nchini ikiwa ni pamoja na mauaji au mapigano kati ya wakulima na wafugaji.

Wako baadhi ya wajanja hukopa benki kwa kuweka dhamana ya hayo mashamba yasioendelezwa halafu kutumia hizo fedha kujenga maghorofa mjini.huu ni usanii unaofaa kupingwa kwa nguvu zote.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Rekebisha, Serikali imerudisha ardhi kwa wananchi iliyonyakuliwa na Sumaye.

    ReplyDelete
  2. Baba NPM mawaziri hewa mama hawa wanafikiri wewe PIA utawanyamazua ili wazidi Kula shamba la Bibi..waambie Mimi Ni MAGUFULI...NA HAYA YA MCHEZO MCHEZO SIYAFIMBII MACHO..NTALALA NAO NA KULA NAO SAHANI MOJA MPAKA KIELEWEKE. UBADHURIFU NA UTAPELI HAPA NI KIKOMO...MUULIZE MOACHU NA AKASI WATAKWAMBIA BABA ZERO..KWANZA UNALIPA KODI YA ARSHI KWA HIZO EKAEI ZA UTAPELI .. NASIJIA PIA ULIKUWA BODI YA CRDB..MMETUIBIA SANA...MNAJUMOPESHA NA HAMRUDISHI SI NDIYO DILI ZENYEWE NA WEWE BODI MEMBA..HAPA UTAIOAYA PATA KWA AWAMU HII YETU..TANZANIA ITAKUWA NI BORA KOLIKO NYUMA . HAPA KAZI TU

    ReplyDelete

Top Post Ad