Wema Sepetu Kuzindua Filamu Yake Leo Iliyogharimu Milioni 40

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wema Sepetu Kuzindua Filamu Yake Leo Iliyogharimu Milioni 40
STAA ‘grade one’ kunako filamu Bongo, Wema Sepetu amewajibu watu wanaoendelea kumsema kuwa hajui kuigiza kwamba, wajaribu kutupia jicho la tatu kwenye filamu yake mpya ya Heaven Sent ambayo inatoka leo (Ijumaa) ikiwa imetengenezwa kwa gharama ya shilingi milioni 40.

 Wema alisema kuwa ameamua kutumia kiasi kikubwa cha pesa ili filamu ionekane nzuri na yenye hadhi kwa sababu filamu nyingi Bongo zinakuwa mbaya kutokana na bajeti kuwa finyu.

“Naamini kila mmoja anaweza kujua uwezo wangu mkubwa niliopewa na Mungu kwa kuiangalia filamu yangu ya Heaven Sent, ndani ya filamu hiyo utanijua vizuri ni msanii au naleta longolongo na humo nimejitupa utafikiri sio Wema mimi,” alisema
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad