Young Dee Aomba Radhi Mashabiki Picha Zake za Utupu Yeye na Amber Lulu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Young Dee Aomba Radhi Mashabiki Picha Zake za Utupu Yeye na Amber Lulu
Rapper Young Dee amewaomba radhi mashabiki wake kutokana na picha ya utupu iliyosambaa leo mitandaoni , akiwa na Amber Lulu ambaye ndiye aliyekaa utupu.

Kwenye ukurasa wake wa Instagram Young Dee ameandika kwamba picha hiyo imevujishwa na watu wasiojulikana, ambayo ilikuwa na lengo la tangazo la nguo.

“Nasikitishwa kwa picha inayosambaa mitandaoni.. imevuja bila ridhaa yangu ni picha iliyokua imepigwa 'behind the scene' lengo haswa la 'photoshoot'  ni aina hii mpya ya mavazi ya aina ya ki"Scortish" kama sketi. Naomba radhi sana kwa hili! na kwa mashabiki wote”, aliandika Young Dee.
Picha hiyo ambayo imesambaa kwa kasi sana kwenye mitandao ya kijamii imeonekana kushtua watu wengi kwenye mitandao, na haifai kuwekwa wazi.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad