Balozi wa China Ammwagia Sifa Rais Magufuli.....Kadai Nchi Nyingi Duniani Zinatamani Kuwa na Rais Kama Yeye

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbas amefunguka na kusema Balozi wa China nchini Tanzania anayemaliza muda wake Lu Youqing amedai nchi nyingi duniani zinatamani kuwa na Rais kama alivyo Dkt. John Pombe Magufuli kwa jinsi anavyoongoza nchi.

Dkt. Hassan Abbas amesema hayo kupitia mtandao wake wa twitter na kusema balozi huyo amesema siyo nchi za Afrika tu zinazotamani kupata kiongozi kama Magufuli bali ni dunia nzima inapenda kuwa na mtu kama Rais Magufuli.

"Balozi wa China anayemaliza muda wake Dkt Lu aguswa na vita ya kimageuzi ya Rais Magufuli. Asema atamkumbuka kama mmoja wa mashujaa Afrika amesisitiza kuwa si Afrika tu bali hata duniani, nchi nyingi zinatamani kuwa na Rais kama Dkt. John Pombe Magufuli amedai Serikali ya Tanzania tangu Nyerere mpaka Rais Magufuli inasifika duniani kwa mageuzi makubwa" alisema Dkt.Hassan Abbas
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Magufuli ni Original wa kwetu. Wengi Duniani wanamfatilia Style yake ya Uongozi Na Utumbuaji wake kutokana na Uchapakazi wake. Magu ni Game Changer in African Leadership.
    Hivi sasa Viongozi wanao muiga/Kumfata akiwemo Narendra Modi/ D.Trunp/ na wengi Ughaibuni.
    Magu Baba Dunia inakumaindi na Nyayo zako wanazifata. Tutumikie kadri ya Uwezo wako. Na zetu Dua pasi na shaka Unazo to kwa Muunga. Hapa Kazi TU

    ReplyDelete
  2. mhmmhh..!! Dkt. Lu Mungu anakuona..

    ReplyDelete

Top Post Ad