Mrembo Faiza Ally Aibuka na Kumkimgia Kifua Diamond Platnumz...Adai Kumpenda ni Amri sio Ombi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Muigizaji wa filamu nchini Faiza Ally ameamua kujitokeza hadharani na kumkingia kifua Diamond Platnumz kwa kuwachana makavu wabaya wote ambao wamekuwa wakimchukia msanii huyo.

Faiza ambaye pia ni mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi, ameandika ujumbe katika mtandao wa Instagram kwa kudai kuwa kumpenda Diamond ni jambo la lazima na sio ombi kutokana na mengi mazuri aliyofayanya katika muziki wa Bongo Flava.

Kupitia mtandao huo Faiza ameandika:

Hivi mnajua kwamba Tanzania nzima na East Africa tunatakiwa tumpenda Diamond sana ???? Hivi hamjawaji kujiuliza kwamba toka zamani kabla ya Diamond kulikua na mziki mzuri lkn hakujawahi kuwa na ushindani kama changamoto alio leta Diamond kwenye game , sasa nasema hivi mziki mzuri peke yake hautoshi na akili kubwa inahusika , unapo kuwa huna akili ktk unalo lifanya ni sawa na mwanamke mzuri hlf hajielewi…. Leo hii kwa u star wenye akili alio uleta Naseeb wazazi wengi wanaona fursa ya mziki kupitia Diamond tofauti na miaka ya zamani, mziki ulikua unaonekana kama sio kazi lkn Leo mziki unaendesha familia nyingi, hata mm ningependa mwanangu awe mwanamziki mwenye mafanikio kama Diamond , sasa nasema hivi ku mpenda Diamond ni amri sio ombi, Diamond ni kama Obama marekani kwa watu weusi , yeye alionyesha kuwa mtu mweusi ana uwezo kwenye siasa na Diamond tanzania kaonyesha mziki unalipa na msisahau katoa vijana wengi na bado wengine wamepata ajira kupitia yeye na naona watapata wengi zaidi ! Sasa nakuomba D ufungue music school basi tuwalete watoto wetu na wenyewe wapate mkwanja kama wako maana shule sio maisha pekee mention town na vipaji navyo ni sehemu ya mafanikio ktk maisha a special kwa maisha tunayo elekea , mm nakupendaga sana na zaidi ni jitihada zako kwenye kazi ! Keep it up dogo 😉 #ZILIPENDWA
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hayawani mwingine huyoo. usimpende alokuzalisha ukampenda mtu hakufirii hata siku moja.

    ReplyDelete
  2. Mawigi hayauziki kilo baki kutafuta wa kumpooza hata kwa jero!Baba watoto woote wamekula kona.

    ReplyDelete

Top Post Ad