Chemical Akana Kumpenda Sterio

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Chemical Akana Kumpenda Sterio
RAPA wa kike anayefanya vizuri kwenye Hip Hop Bongo, Claudia Lubao ‘Chemical’, amefunguka kuwa, msanii Stereo ambaye amekuwa akijanasibu kwenye vyombo vya habari kwamba anampenda, ukweli ni kwamba mwanamuziki huyo hajawahi kumpenda
kwa dhati kwa kuwa bado mwanaume huyo hajamwonesha vitendo vyenye kuthibitisha hilo.

Chemical alisema kuwa, hajawahi kupendwa kwa dhati na Stereo kwa kuwa hata siku moja, hajawahi kuelezwa kitu chochote kinachohusu mapenzi na rapa huyo, zaidi ya kumsikia tu kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

“Siwezi kujiongopea kwamba nimewahi kupendwa na Stereo, hata mara moja rapa huyo hajawahi kunipenda, nasema hivyo kwa sababu hajawahi kunifungukia live, ninaishia kumsikia tu kwenye media na mitandao ya kijamii,” alisema Chemical.



----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad