Chid Benz Awajia Juu Wanaouponda Wimbo Wake Mpya Govinda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Chid Benz Awajia Juu Wanaouponda Wimbowake Mpya Govinda
MWANAMUZIKI mwenye jina kubwa kwenye Hip Hop Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ amewaka kwa kusema kuwa, wanaoiponda ngoma yake mpya anayotegemea kuachia hivi karibuni iitwayo Govinda ni watu ambao hawapendi maendeleo yake lakini atawanyamazisha mdomo baada ya kuiachia.

Akichonga na Uwazi Showbiz, muda mchache baada ya kusambaza kipande cha video kwenye mitandao ya kijamii cha wimbo huo mpya na kukutana na changamoto za watu kuiponda ngoma hiyo na kumwambia anatakiwa kubadilisha namna ya ufanyaji wake wa kazi Chid alisema;

“Bado nina watu wengi wanaoufuatilia muziki wangu na wanapenda namna ninachana kwa hiyo hata siwezi kusikiliza maneno ya wachache ambao hawanipendi wanaoponda ngoma yangu, kikubwa mashabiki wategemee kupata vitu vikali zaidi kutoka kwangu maana kwa sasa nilishabadilika na kuwa mtu mpya.”

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad