Diamondi Ajivunia Kuwa Baba wa Watoto Watatu Atupa Dongo kwa Waliomwita Mgumba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diamondi Ajivunia Kuwa Baba wa Watoto Watatu Atupa Dongo kwa Waliomwita Mgumba
Ni kweli ukitaka kumuuwa paka lazima ufanye kazi kwa kuwa ana ‘roho saba’? Basi inawezekana kumteketeza Diamond lazima ufanye kazi pia.
Msanii huyo amewajibu wabaya wake kupitia mtandao wa Instagram, baada ya kuonekana kuibuka mshindi katika vita ya mtoto aliyezaa na mrembo Hamisa Mobetto.

Daimondi ameandika hivi kupitia instagramu yake “Chawa KATU hauliwi kwa DOLE GUMBA…… Leo kawa Baba WATATU yule walomuitaga MGUMBA….”🔥🔥

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo ni haki yako dogo kutoa yaliyomo moyoni mwako maana waswahili walikuandama sana kuhusu suala la wewe kuwa na mtoto/watoto na wakaropoka maneno mengi sana ya kashfa kama wao ni vile miungu watu sasa hao hao wameishasahau yote hayo kuwa "MLA NDIZI HUSAHAU LAKINI MUOKOTA MAGANDA YA NDIZI HUWA HASAHAU"Sasa dogo umefungulia mbwa unawafyatua watoto tu kama vile huna akili nzuri" hahahaaaa!Babkubwa dogo big up!Usishangae ikatokea siku watu hao hao wakaanza kukwambia kuwa "eti"Una watoto wengi hiyo ndiyo Africa na watu wake roho zao zimejaa kutu kibao kama mabomba ya maji

    ReplyDelete
  2. HONGERA DIAMOND KWA BUSARA, MSHUKURU MUNGU KWA HILO. ILA NENDAPIA KWA ZARI ONGEA NAE ANA KWA ANA MWOMBE RADHI UKIWA NAE ANA KWA ANA.

    ReplyDelete
  3. ya ugumba yaliisha zamani unge yaongea wakati ulipopata wawili au untaka kupotezea ya sasa anyways its none of our business

    ReplyDelete

Top Post Ad