Ester Bulaya Atoa Neno kwa Wananchi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ester Bulaya Atoa Neno  kwa Wananchi
Mbunge wa Bunda Mjini kwa tiketi ya (CHADEMA) Ester Amos Bulaya amefunguka kwa kuwashukuru wananchi wa Bunda, Mara na Watanzania kiujumla kwa kuacha kufanya mambo yao na kumuombe yeye kipindi alipokuwa anaumwa.

Bulaya ameeleza hayo kupitia ukurasa wake wa twitter ikiwa zimepita wiki mbili tokea Mbunge huyo kuzidiwa na kupelekwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu zaidi baada ya kupewa rufaa katika hospitali aliyokuwa amelazwa awali ya Mkoa wa Mara.
"Namshukuru Mungu naendelea vyema, asanteni wanabunda, Mara na Watazania wote kwa maombi yenu, afya yangu inazidi kuimarika. 'God is good", aliandika Bulaya.



----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sasa mwananchi wa kawaida akizidiwa kama wewe huko bunda si atakufa? sasa ndo ufanye mpango kusaidia kuboresha huduma za afya jimboni kwako sio kupiga makelele tu twitter

    ReplyDelete

Top Post Ad