Kimenuka Diamond Azidi Kumpandisha Presha Zari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kimenuka Diamond Azidi Kumpandisha Presha  Zari
Siku ya September 14, 2017 mpiga picha maarufu wa Diamond Platnumz, Kifesi alipost picha ya boss wake Diamond kwenye ukurasa wake wa instagram Picha ambayo alimpiga yeye, baada ya post hiyo mzazi mwenza na mpenzi wa Diamond Platnumz, Zari the Boss Lady akakoment kwenye post hiyo kwa kuweka emoji ya kidole cha kati.

Baada ya Zari kukomenti hivyo mashabiki wakahusisha hilo na swala ambalo Diamond anadaiwa ya kuwa yupo Zanzibar na mshindi wa Big Brother mwaka 2013 anayetokea Namibia, Dilish Methew huku ikisemekana wawili hao wanatoka kimapenzi kitu kilichomfanya Zari akomenti vile kwenye picha ya kifesi aliyompost Diamond.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zari alisema kaolewa! imekuwaje sasa. wake wenza wanazidi kila cku.

    ReplyDelete
  2. pole bi kizee jitahidi sana kujipodoa na ukipiga picha usisahau kunyanyua mguu zaidi juu. ili uonekane mbichiii. Dai kashakuchoka hawezi kukwambia ila cha moto utakiona. ulifikiri kumzalia ndo itakuwa sababu ya kukupenda na kuwatukana watz.

    ReplyDelete
  3. ile pete ya dola 9. alovaa akasema kaolewa iliishia wapi? eti sasa anatafuta pesa na sio dick. hahaaa. maneno ya mkosaji.

    ReplyDelete
  4. YAANI NYIE HAMJUI HAKUNA LOLOTE HAPO WANA BUY ATTENTION YENU SIKU NYINGI HAWAJASIKIKA PAMOJA. WAJANJA SANA HAWA WANAJUA KUCHEZA NA MIND ZA WATU!!!

    ReplyDelete
  5. sasa hata kama huyo dai ushuzi ndio yuko na mwanamke mwengine jamani si yuko huru kwani wewe ajuza bi kizee umemenunua daimondi si alisha sema bora ale alafu asepe hukumbuki bi kizee? kwa hivo ana donoa donoa kote anawapitiapitia so tulia ajuza mla kuku qa mwenzie ndio hayo yamekufika sasa utajiju

    ReplyDelete

Top Post Ad