LEMUTUZ Afunguka "Tuaachie Serikali Itoe Majibu ya Nani Anahusika na Shambulio la Lissu Msituchanganye Wananchi"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....

naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 je Rais hakuwa Magufuli!....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais hakuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Je Rais hakuwa Magufuli! ....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais hakuwa Magufuli! ....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi je Rais hakuwa Magufuli! ....Mwezi May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya je Rais hakuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma Rais hakuwa Magufuli ....October, 2013 Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu ya Chadema Rais hakuwa Magufuli!

....please msijaribu kupandikiza chuki baina yetu wananchi tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far wa nani anahusika na kupigwa kwa Mh. Tundu Lissu ...wote tunamuombea apone haraka ila tutaendelea kupinga hukumu za bila Facts against Serikali ....kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na Matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA na jana ni FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio Madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema wanahofia usalama wake ...now Serikali ya Rais Magufuli haina cha kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka ....Thanks tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea na some of us tutaendelea kusimamia Ukweli tu ...kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS Taifa ni letu wote so relax guys ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. umechanganyikiwa toka zamani, huna mke wala family. utaachaje kujipendekeza kwa mkulu na bashite.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ingekuwa plausible kama ungejibu hoja yake badala ya kushambulia tabia yake, sio lazima u comment kama huna points

      Delete
    2. Yeah ... Le Mutuz. Well said.
      Nimekuelewa na ni lazima mwenye Akili Timamu Atakuelewa vilivyo.
      Ulisoma yote ni Sahihi na ni sawa kabisa.
      Waachiliwe wenye kazi wafanye kazi Zao.
      Wantania wanakufa kila Siku kwa Njia Tofauti.
      Nahuyu ni Mmoja wa Watanzania. Kama ni kwa kuibiwa VXR au Ana Deni.Au katapeli katika Kesi.
      Hayo yote yanafanyiwa Kazi.
      Nawaambia watumia mitandao kupotosha kama ilivyo kawaida yao na kufanya kila kitu kuwa ni Ajira ya Kuuza Maneno .. Haisaidii.....
      Kuna wahenga walinena KIKULACHO KIKO NGUONI MWAKO.. Sasa hili pia tunaliangalia na Bawicha inaelekea Mchongo huu wamo . KITAELEWEKA TU NI UVUMILIVU NA WAKATI NDICHO CHA MSINGI HAPA.
      BIG UP LE MUTUZ.

      IMENISHTUA KUSIKIA POSHO YA SIKU NI ZAIDI YA MILIONI 40...??? SI WIZI MWIGINE HUU SIKU KUMI ITAKUWA MILIONI NGAPI VILE...??

      Delete
    3. Jamani hii nchi sijui ikoje. Watu wako rais kumfikiria Mkuu wa nchi hata kwenye matukio kama haya.Ambayo kuna watanzania yapata mil 55. Ambao waweza tenda jambo kwa Ualifu.Au chuki dhidi ya kiongozi. Au kuna jambo ambalo baadhi limewakwaza. Mfano kwa kuwa wanebanwa kwenye nyanja mbali mbali. za matumizi mabaya ya raslimali ya Taifa, wizi, rushwa ufisadi uliokithiri uhujumu uchumi climinal kama madawa ya kurevywa na mengine mengi.Au labda Speech hazikuwa nzuri kwa muhusuka aliekuwa anazitoa na kila mtu ana uwelewa wake. Na ukiangalia maisha ya watu wa bara hili la Africa yako chini sana. Kwa huduma za jamii mpka miundo mbinu kiasi kwamba wengine wapokea message vibaya. Mtu anaaza kuwaza la kwake kwamba labda huyu mtu mmha anataka atukwamishe. Basi watatumia kila aina ya tukio kulifanya kuwa propaganda.Ilimradi tu kwa kuwa kiongozi mkuu aendani na wao. Hilo kundi.Hizi nchi zetu za dunia ya tatu zina matatizo sanaa. si ajabu kuitwa watu wenye IQ ndogo. Uwezo wa akili ni mdogo. Sub - human. SUB CONTINENT. NA MPKA SASA WAMETUTOA NA WALE WA KULE JUU. NCHI ZA NORTHER AFRICA. TUNAITWA KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA. ARIMLADI TU

      Delete
  2. kajambe kuleee. wewe mwenyewe ni kibaraka wao. zee zima akili robo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yeah ... Le Mutuz. Well said.
      Nimekuelewa na ni lazima mwenye Akili Timamu Atakuelewa vilivyo.
      Ulisoma yote ni Sahihi na ni sawa kabisa.
      Waachiliwe wenye kazi wafanye kazi Zao.
      Wantania wanakufa kila Siku kwa Njia Tofauti.
      Nahuyu ni Mmoja wa Watanzania. Kama ni kwa kuibiwa VXR au Ana Deni.Au katapeli katika Kesi.
      Hayo yote yanafanyiwa Kazi.
      Nawaambia watumia mitandao kupotosha kama ilivyo kawaida yao na kufanya kila kitu kuwa ni Ajira ya Kuuza Maneno .. Haisaidii.....
      Kuna wahenga walinena KIKULACHO KIKO NGUONI MWAKO.. Sasa hili pia tunaliangalia na Bawicha inaelekea Mchongo huu wamo . KITAELEWEKA TU NI UVUMILIVU NA WAKATI NDICHO CHA MSINGI HAPA.
      BIG UP LE MUTUZ.

      IMENISHTUA KUSIKIA POSHO YA SIKU NI ZAIDI YA MILIONI 40...??? SI WIZI MWIGINE HUU SIKU KUMI ITAKUWA MILIONI NGAPI VILE...??

      Delete
  3. hebu ondoa juso lako kibaraka ulie kosa lakusema huna haya jitu zima ovyo

    ReplyDelete
  4. Yeah ... Le Mutuz. Well said.
    Nimekuelewa na ni lazima mwenye Akili Timamu Atakuelewa vilivyo.
    Ulisoma yote ni Sahihi na ni sawa kabisa.
    Waachiliwe wenye kazi wafanye kazi Zao.
    Wantania wanakufa kila Siku kwa Njia Tofauti.
    Nahuyu ni Mmoja wa Watanzania. Kama ni kwa kuibiwa VXR au Ana Deni.Au katapeli katika Kesi.
    Hayo yote yanafanyiwa Kazi.
    Nawaambia watumia mitandao kupotosha kama ilivyo kawaida yao na kufanya kila kitu kuwa ni Ajira ya Kuuza Maneno .. Haisaidii.....
    Kuna wahenga walinena KIKULACHO KIKO NGUONI MWAKO.. Sasa hili pia tunaliangalia na Bawicha inaelekea Mchongo huu wamo . KITAELEWEKA TU NI UVUMILIVU NA WAKATI NDICHO CHA MSINGI HAPA.
    BIG UP LE MUTUZ.

    IMENISHTUA KUSIKIA POSHO YA SIKU NI ZAIDI YA MILIONI 40...??? SI WIZI MWIGINE HUU SIKU KUMI ITAKUWA MILIONI NGAPI VILE...??

    ReplyDelete
    Replies
    1. Eti watz wengi wanapoteza maisha, hicho ni kitu cha kujivunia? Na kinajustify kupotea kirahisi kwa maisha ya watz wengine? Hebu kama uliwahi kufiwa na mtu wa muhimu sana kwako patapicha ya idadi ya watz wanaoumia kama ulivyoumia wewe siku hiyo. Unapozungumzia Lisu ni Mtz mmoja tambua ya kwamba kila mmoja katiyetu sote watz around 50m ni mtz mmoja haijalishi anacheo au hana. Hakuna meenye thamani ya watz 10 au milioni. Kwa manyiki hiyo hata sisi wote tukifa kwako no poa tu. Hakika sosi sote tutakufa na kifo ni hakiyetu lakini iwe ni kifo cha mpango wa Mungu si maamuzi ya fulani au kundi fulani haikubaliki. Nyerere alisema iki tuendelee tunahitaji mambo manne Ardhi, watu siasa safi na uongozi bora. Sasa ni jukumu lako hon. Well said kutafakari na mtoa mada kuona vitu mnavyosimamia vinaendanaje na pia mahusiano ya hayo mambo manne yenuewe kwa yenyewe na maendeleo ya Taifa. Je kuendelea kupoteza raslimali watu tuliowasomesha kwa gharama iko sambamba na hii fikra ya Nyerere? Asante

      Delete
    2. Kweli Lucas Fikra zako na mwelekeo wako Uko Dhahiri ni wa upande Mmoja ambao umelenga....!!!
      Ikiwa unatambua Kufa ni Haki ..Pia ukubali na utambue kuwa Sababu ziko Tofauti Toufauti ( Mafuriko ya Mvua. Kuzama kwa Meli / Kuanguka Ndege / Majambazi / Ajali ya Gari / Ugonjwa / Uzazi / Msongo wa Fikra (Hati ataki) / Boda Boda / kuzidisha Ulevi na madawa .. Mwisho wa siku kinaitwa Kifo.
      Ukilitambua Hilo sidhani kama utaendelea Kujitatiza na Fikra na Kuanza Kubuni
      sababu ambazo jibu lake huto lipata papo hapo na utakaribisha Msongo wa maswali bila majibu na unaweza kufa kwa fikira ambazo zitakuletea mshinikizo wa damu katika KICHWA CHAKO na kukosa usalama.
      Bado tunakupenda animi Bwana siku zote.
      na Umtangulize mungu katika kila jambo lako . Na kuwa Muogopa Mungu siku zote.
      Ishi na watu Vizuri na Jiweke kuwa Mwana Jamii Mzuri na Ujiheshimu ili Uheshimike.
      Nadhani utakuwa umenielewa na Kujielewa .

      Delete
  5. Maisha ya binadamu ni kitu cha thamani sana tena sana. Ukianzia na hojayako ya kutibiwa Muhimbili, je nani anawajua hao wauwaji? Nani anahakika kwamba pale muhimbili hawawezi kumfikia Lisu? Je ni marangapi tumekuwa tukisikia madaktari fake mhimbili? Je hao watu ambao hawajulikani kwa kila tukio na hatujui ni nani na watajulikana lini tuna hakika gani kwamba watashindwa kufika pale? Tunajua wapo madaktari wazuri tunao lakini mazingira hayaruhusu kwa hili tukio. Pia iko haja kuthamini hata wale wasio upande wetu kwani binadamu anajijua kwamba yuko sahihi au amepotoka kama anapata kujipima maamuzi na fikrazake kwa mawazo mbadala. Tuache kuamini mzalendo ni mpiga makofi pekee. Kuwianisha matukio ya nyuma nahaya ni kuanika uozo wa hii hii serikali ya ccm. Kama watu wasiojulikana wameshindwa kuwakamata tangu wakati huo haijalishi wako upande upi wa kisiasa, tunaaminije kwa tukio hili watapatikana? Ni kashfa kwa chama husika kwamba kuna kundi linajiita watu wasiojulikana miaka na miaka na wanatekeleza mambo hata mbele ya kamera na bado wasijulikane. Mfano Nape anyooshewa silaha mbele ya umma wakiwapo makamanda wa polisi na watu wasiojulikana. You can easily say well said, but is it holding water? Hali hii inapogeuka utamaduni na sisi kwasababu tuko upandefulani kwa wakati huu tunasapoti tu, iko siku mfumo utatuweka upande mwingine au kwa kujiandaa au kwa kutojiandaa na tusiwe na la kufanya na wala kujitetea, wako wapi akina Sofia Simba wamebakia lpemmbeni na kimya. Haki ndiyo nyumba imara, ndo maana maandiko yanatujuza kwamba Haki huinua Taifa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli Lucas Fikra zako na mwelekeo wako Uko Dhahiri ni wa upande Mmoja ambao umelenga na inaelta picha ya Kisiasa na kujiweka kuwa upande wa pili kule....!!!
      Ikiwa unatambua Kufa ni Haki ..Pia ukubali na utambue kuwa Sababu ziko Tofauti Tofauti ( Mafuriko ya Mvua. Kuzama kwa Meli / Kuanguka Ndege / Majambazi / Ajali ya Gari / Ugonjwa / Uzazi / Msongo wa Fikra (Hati ataki) / Boda Boda / kuzidisha Ulevi na madawa .. Mwisho wa siku kinaitwa Kifo.
      Ukilitambua Hilo sidhani kama utaendelea Kujitatiza na Fikra na Kuanza Kubuni
      sababu ambazo jibu lake huto lipata papo hapo na utakaribisha Msongo wa maswali bila majibu na unaweza kufa kwa fikira ambazo zitakuletea mshinikizo wa damu katika KICHWA CHAKO na kukosa usalama.
      Bado tunakupenda animi Bwana siku zote.
      na Umtangulize mungu katika kila jambo lako . Na kuwa Muogopa Mungu siku zote.
      Ishi na watu Vizuri na Jiweke kuwa Mwana Jamii Mzuri na Ujiheshimu ili Uheshimike.
      Nadhani utakuwa umenielewa na Kujielewa .
      Je Umeshapata kusikia episode of Power and Popularity Struggle and Raise within the Party??
      Au Umeona The Raise and Fall of......

      Delete

Top Post Ad