Mwimbaji Mkongwe Mad Ice Ampa Makavu Harmorapa..Adai Ana Matatizo ya Akili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii Mad Ice ambaye kwa muda mrefu alikuwa kimya kwenye game ya bongo fleva, ameibuka na issue ya kumpondea Harmorapa, akisema msanii huyo hafai kuwa msanii.

Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Mad Ice amesema kwa upande wake anamuona Harmorapa kama msanii wa vichekesho, hivyo mtu akisema anafanya muziki anamuona ana matatizo ya akili.

"Nimesikia hilo jina Harmorapa nikasikitika sana, kwa sababu kuna vitu tunaharibu sanaa yetu wenyewe, kuna wasanii wanahitaji kupewa fursa,  mimi nimemuona kama mchekeshaji, ukiniambia ni comedian nitaheshimu lakini unaponiambia unamlinganisha na mimi nitakuona una kitu kinakusumbua kichwani”.

Kauli hiyo ya Mad Ice sio mara ya kwanza kusikika kwani hata producer mkongwe bongo Master Jay, aliwahi kuzungumza kuwa Harmorapa hastahili kuitwa msanii wa muziki kwani hajakidhi sif
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad