Magari Mabovu 26 ya Polisi yazidi Kumpa Kiki PAUL Makonda.....Picha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda leo September 15, 2017 amefanya ziara Kilimanjaro kukagua ukrabati wa magari mabovu 26 ya Jeshi la Polisi DSM ambayo awali yalikaa kwa muda usiopungua miaka mitano bila kufanya kazi.

Magari hayo sasa yamekamilika na yanatembea na katika wiki mbili zijazo yatakabidhiwa rasmi kwa ajili ya kuongeza na kuboresha ulinzi katika Mkoa wa Dar es Salaam kutokana na kukarabatiwa kwa mfumo kisasa tofauti na awali.

RC Makonda ameridhika na muonekano wa sasa wa magari hayo ambayo yatarejea barabarani huku akifanikiwa kuokoa kiasi kikubwa cha fedha ambacho kingetumika kununua magari mengine.

Wako baadhi ya wananchi walibeza hili wazo langu la kuyakarabati magari haya kwa kiwango cha Kimataifa, lakini sasa nafurahi kuona ndoto yangu imekuwa kweli. Ni jambo jema kwa Mkoa wetu.” – RC Makonda.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad