Mahujaji 35 Wafariki Makkah Siku ya Kwanza ya Hijja......

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mahujaji 35 Wafariki Makkah Siku ya Kwanza ya Hijja......
Wizara ya Afya ya nchini Misri imeeleza kuwa Mahujjaj 35 wa nchi hiyo wamefariki dunia wakati wa siku ya kwanza ya Hijja iliyomalizika nchini Saudi Arabia kutokana na uchovu na umri mkubwa.

 Afisa mmoja wa Wizara hiyo, Ahmed el Ansary, amesema umri wa Mahujjaji waliofariki ni kati ya miaka 60 hadi 85.

Katika Ibada ya Hijja ya mwaka huu zaidi ya Mahujaji milioni mbili walihudhuria wakiwemo milioni 1.8 kutoka nje ya nchi.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni jambo la kumshukuru Allah.kwani umati mkubwa wa watu mahala pamoja nilazima tu kutatokea madhara,aidha vifi,maradhi na mengineo.Ila haitakuwa sababu ya kutowafanya Waislamu kutimiza nguzo ya Tano ya Dini.ALLAH AWAREHEMU WOTE

    ReplyDelete
  2. Allah awarehem na wazazi wetu waliotangulia Ameen

    ReplyDelete
  3. wainnalilah raajiuun mungu awape pepo waliyoifuata huko inshaalah''

    ReplyDelete

Top Post Ad