Akiwa katika Wilaya ya kigamboni leo Septemba 11, 2017 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amesema magari yote yatauzwa katika eneo la maalumu ambalo limetengwa huko kigamboni, na ifikapo Mwezi Januari mwaka 2018, leseni zote za biashara za uuzaji wa magari zitapatikana ndani ya wilaya ya kiamboni na hivyo amewataka wafanya biashara wote wa magari mkoani humo kuanza kufika ofisini kwake na kumpa mahitaji yao katika eneo hilo.
VIDEO:
----
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
Nyanya hiloo.
ReplyDeleteBashite boy
ReplyDelete