AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Katika ukurasa wake wa Twitter ambao unaonyesha Nape akiwa katika picha na wananchi wa kijijini ameandika hivi “Watu hawa wanapambana na hali zao! Waliniuliza bomberdia ndio nini? Na sie wa vijijini tutafaidikaje au ni kwenu mjini tu!??
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
huyu jamaa ni vp....unauliza watu ndege wakati hata kiwanja hawana
ReplyDeleteBidhaa km matango mihogo pilipli embe matikiti n.k vina soko sana ulaya hasa UK. Kenya wanauza sana ila hakuna yoyote toka to. Nilipouliza nilijibiwa Kenya wana ndege inayowezesha usafirishaji wa perishable goods
ReplyDeleteNAFURAHI TZ IMEANZA KUNUNUA NDEGE. BIDHAA ZA WANANCHI WA MTAMA ZITAWEZA KUPATA SOKO NJE NA WATAFAIDIKA