Wazee wa Kigoma Wamjia Juu Ndugai Wamtaka Kuacha Kiburi na Kusimamia Misingi ya Kuwaunganisha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wazee wa Kigoma Wamjia Juu Ndugai Wamtaka Kuacha Kiburi  na Kusimamia Misingi ya Kuwaunganisha
Wazee wa Kigoma wakiwakilishwa na Mwenyekiti wa Ngome ya Wazee ya Chama cha ACT Wazalendo, Alhaj Jaffar Kasisiko wamesikitishwa na kauli aliyotoa Spika Ndugai kuwa anaweza kumzuia Zitto Kabwe asiongee chochote mpaka ubunge wake utakapokwisha.

Wazee hao wanasema kitendo cha Spika kumzuia Zitto Kabwe kuongea bungeni ni sawa na kuwazuia wao wasiongee na shida zao zisiweze kutatuliwa na kudai inaonekana hiyo kauli imeshafanyiwa kazi na kitendo cha kumwita Zitto kwenye Kamati ni sawa na kupoteza muda tu na kudai jambo hilo halimtendei haki kijana wao Zitto Kabwe na wao wenyewe.
Aidha wazee hao wamemtaka Spika Job Ndugai na viongozi wengine wasiwe na kibri na watazame mambo ambayo yanawaonganisha kwa pamoja.



----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sisi wazee na Uzee wetu huwa tunachanganya Mambo kwa jinsi huwa tunashindwa kuelewa.
    Angalia tulivuo changanya .

    "kauli aliyotoa Spika Ndugai kuwa anaweza kumzuia Zitto Kabwe asiongee chochote"
    "kitendo cha Spika kumzuia Zitto Kabwe kuongea bungeni"

    Sasa hapo ndiyo utaona Zito anavyo jaribu kupangilia na kuchanganya mpaka kuwa fanya Wazee wanaojiita Wazee. Kuwa ni FEKI.

    Zito utarudi KULIMA aU KUVUA DAGAA NA KUUZA?
    Manake biashara ya Mtori huijui.

    ReplyDelete
  2. Kwa uelewa mdogo wa wapiga kura no wonder wabunge wetu huenda Dodoma kupiga blabla tu.Nilitegemea wazee hao wambane mbunge wao ili ajikite zaidi katika kuwatatulia kero zao na si kuwa mbunge wa Facebook.

    ReplyDelete

Top Post Ad