Wimbo Mpya wa Diamond Platnumz Alioutoa Leo Wavunja Rekodi ya Ali Kiba ndani ya Masaa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Video ya wimbo mpya wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Hallelujah umefikisha watembeleaji milioni moja ndani ya saa 16 tangu ulipowekwa katika chaneli ya Youtube na kuwa wimbo uliowahi kutazamwa na watu wengi ndani ya muda mfupi nchini.

Wimbo Hallelujah uliowekwa saa sita usiku, unaivunja rekodi iliyowekwa mwezi ulipita na Seduce Me wa Alikiba ambao ulifikisha watembeleaji milioni moja ndani ya saa 37 uliowekwa katika mtandao wa Vevo. Diamond katika wimbo huo amewashirikisha wasanii wa Jamaica, Morgan Heritage.

Hallelujah ulifikisha watembeleaji milioni moja ilipofika saa kumi jioni.

Muda mchache kabla ya kufikisha watazamaji milioni moja Diamond aliwashukuru mashabiki wake kwa kuupokea vizuri wimbo huo.

“Nawashukuru kwa kuniunga mkono, tuzidi kusonga mbele ili dunia ione uwezo wa mtoto wa Kitanzania, “ aliandika katika mtandao wa Instagram.

 0      
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hana jipya. kiba na aslay ndio habari ya mujini.

    ReplyDelete
  2. kavunja rekodi kwenye you tube.. hahaaa. mnachekesha waloonuna. kesho anunue tena zifike million 3.

    ReplyDelete
  3. hakuna kitu hapo, anavyojikakamua ili mradi aonekane yuko juu. Halima mapengo na Lednjaa ndo wataanunua views you tube! halafu Bi kizee kacomment kiupoleeee. mambo hajakaa sawa nn.

    ReplyDelete
  4. kama kwelu aimbe peke yake kiba hajamshirikisha mtu hakuna ushindani kiba yuko juu salute to Kiba

    ReplyDelete

Top Post Ad