AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Baba mazazi wa Joti amemtaka mwanaye kuwa mtulivu katika maisha yake ya ndoa huku akidai yeye alikuwa navituko hata mkuzidi mtoto wake huyo lakini aliamua kutulia ili kuendesha maisha yake. Mzee huyo amesema hayo wakati wa sherehe ya ndoa ya mtoto wake huyo iliyofanyikia Mlimani City Dar es salaam ambapo pia amemtaka Joti kuomba msamaha pindi anapomkosea mke wake.
----
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK