CCM yafuta Uchaguzi Wilaya nne

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkutano Mkuu wa Halmashauri  Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa (NEC), umefuta uchaguzi wa wenyeviti katika wilaya nne baada ya kubaini wagombea waliojitokeza hawakua na sifa.

Akitangaza uamuzi huo leo , Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, amezitaja wilaya hizo zilizofutiwa uchaguzi kwamba ni Moshi Mjini,  Siha, Hai,  pamoja na Makete.

Amesema sababu ya kufuta matokeo hayo ni kubainika kwamba  wagombea waliojitokea hawakuwa na  sifa, pamoja na kubainika kuwepo na viashiria hatarishi kwa chama.

Hivyo kutokana na uamuzi huo  Polepole amesema kwamba  wilaya hizo zitaanza upya mchakato wa uchaguzi huo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad