Hivi Ndivyo Wolper Alivyouzungumzia Wimbo Mpya wa Harmonize

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hivi Ndivyo Wolper Alivyouzungumzia Wimbo Mpya wa Harmonize
Mapenzi yanapoisha na uhusiano kuvunjika huwa inaumiza na hiyo inapelekea wengine kuwekeana kinyongo, kutosalimiana au kutotaka kabisa hata kumsikia mwenzake.

Wolper aliwahi kusema  kwamba huwa hapendi kumkumbuka na kumpa nafasi Mwanaume alieachana nae haswa Mwanaume aliempenda kisawasawa ila inaonekana sasa hivi maumivu yameondoka na hana kinyongo na Harmonize.

Saa kadhaa zilizopita alitumia Instagram yake kuusifia huo wimbo kwa kuandika “Haka ka nyimbo kazurii sana na video pia ndio usiseme, bwana Raaaaaj umejua kunyoosha, kama bado hujaangalia video ya haka ka wimbo pita kwenye bio ya @Harmonize_tz #uliemchokozakaja #shulala #NaukinibipuTuNakupigia”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Weeee hebu muache mtoto wa watu. Wanaume kibao wamepita kwako. Mbona umemkazani huyu tu

    ReplyDelete
  2. mlevi ulie kosa kazi mukiona watt wa watu wametulia haya vya kiwashwa munaanA hakutaki katafute walevi wenzako hee eti hata haya hauna bado hujasifu unekula huu utabaki na ati ati elooo

    ReplyDelete

Top Post Ad