AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Hassan amehukumiwa kifungo hicho katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Rita Tarimo, wakati wa shauri hilo lilipoitishwa kwa ajili ya hukumu.
Hakimu Rita amesema wakati wa usikilizwaji wa shauri hilo upande wa mashitaka ulipeleka mashahidi watano ambao wamethibitisha shitaka pasi kuacha shaka.
Akipitia baadhi ya ushahidi uliotolewa mahakamani hapo, Hakimu Rita amesema mtoto huyo alikuwa anafanyiwa vitendo hivyo mara kwa mara na baadae kumpa sh. 2,000 huku akimuamuru asidhubutu kumwambia mtu yoyote.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Mmmmmm Imam naye tena. Looooh!!!!!! Tumezoea kusikia wachungaji wa kondoo za bwana
ReplyDelete