AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Wawili hao ambao walionekana wakiwa wameshibana kimahaba sasa kunonyesha kama kuna hali ya kutokuwa sawa hii ni kutokana na kuwa mrembo Wolper hakuonekana na mpenzi wake huyo aliyerithi mikoba ya Harmonize, katika private party ya Diamond Platnumz usiku wa Jumatatu(02/10/2017) katika hotel ya Hyatt Regency.
Pia ukiitazma akaunti ya mtandao wa kijamii wa Instagram, ya Bff wa Wolper amemu-unfollw mrembo huyo na kufuta picha zote walizowahi kupiga pamoja ama kumpost.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK