Nahreel Aamua Kuweka Wazi Mimba ya Mpenzi Wake Aika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nahreel Aamua Kuweka Wazi Mimba ya Mpenzi Wake Aika
Penzi kati ya producer Nahreel na msanii Aika wanaounda kundi la Navykenzo linazidi kunoga na kubariki ambapo mrembo huyo amebahatika kupata ujauzito.

Stori ya mapenzi kwa wawili hao ilianzia Chuoni nchi India, na imeendelea kuwa kivutio kwa watu kutokana na ukaribu  na mahaba walyionao, kwa sasa  penzi hilo litazidi kuwa moto kwani wanategemea kupata mtoto wao wa kwanza anayesadikika kuwa ni wa kiume.

Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram Nahreel ameposti picha ya mrembo wake na kuandika “Dear #Gold we cant wait to see you ‘little guy”.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad