Shamsa Ford Amtolea Povu Aliyeichokonoa Ndoa Yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Shamsa Ford Amtolea Povu Aliyeichokonoa Ndoa Yake
UKITAKA kujua kichaa cha ‘Queen’ wa Bongo Muvi, Shamsa Ford, basi jaribu kuichokonoa ndoa yake, na hicho ndicho anachokifanya mtu mmoja aliyemfahamu kwa jina la Ilala Mjinga, ambaye kazi yake ni moja tu, kusambaza taarifa za uongo mitandaoni kuhusiana na ndoa yake na mumewe, Chid Mapenzi.

Kwa mujibu wa Shamsa ambaye siku chache nyuma alisema kuwa anamuona jini-mkatakamba anainyapianyapia ndoa yake, hatimaye mambo yakamfika shingoni na kuamua kushusha waraka kwenye ukurasa wake wa Instagram, akiwataka wale wote ambao wanadhani atakuja kuachana na mumewe, basi wajue kwamba hiyo ni ndoto sawa na kusubiri embe dodo kwenye mti wa korosho!

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Shamsa acha danganya toto yako hiyo upo na jamaa kimaslahi sana tu na siyo eti unampenda kimapenzi na itokee jamaa mambo yamuendee mrama kama kawa utambwaga na kung'ang'ania pengine penye pesa usituongopee eti"ni sawa na kusubiri embe dodo kwenye mti wa mkorosho"hiyo sentensi yako ipo siku itakuja kukushua wewe mwenyewe uliyeitunga hii dunia ukipata kaa kimyaaaa kwani huyu kesho italeta nini kwako

    ReplyDelete

Top Post Ad