Afande Ampa Makavu Mama Kanumba "Nimeshangaa Kuona Anafurahi Lulu Kufungwa Mama Ambaye Hana Uchungu Hana Sifa ya Kuwa Mzazi"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Afande Sele, amesema anashangzwa na kitendo cha Mama Kanumba kushukuru kufungwa kwa Lulu wakati mtoto wake ndiye alikuwa na makosa kwa kuwa na mahusiano na binti mdogo.

Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Afande Sele amesema mama Kanumba ni mama ambaye hana vigezo vya kuwa mzazi kwani hana uchungu na mtoto wa mwenzake kwenda jela akiwa mdogo, huku ambaye alistahili kuhukumiwa ni mtoto wake Kanumba.
"Mama Kanumba nimeshangaa kusikia anashukuru kwamba Lulu kafungwa, mama ambaye hana uchungu hana sifa ya kuwa mzazi, anashukuru kwamba mtoto mdogo anafungwa kwa ajili ya ubazazi wa mtoto wake, ujinga wa mwanae, upuuzi wa mwanae, mkubwa anambaka mtoto mdogo kama yule”, amesema Afande Sele.
Afande Sele ameendelea kwa kusema kwamba yeye kama mzazi mwenye mtoto wa kike anatamani hata maiti ya Kanumba ingefukuliwa ichomwe mto ili kuwa fundisho kwa wanaume wengine wenye matendo kama yake.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Afanaalleikh!Mdomo hauna break huo rasta man!

    ReplyDelete
  2. Umekwisha au umeishiwa ndio maana unaongea hovyo hovyo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hajaongea hovyo alichokisema ni cha kweli kisheria anayezini na mtoto mdogo (17 kwenda chini) adhabu yake ni kifungo cha maisha hilo halina mjadala. Kanumba alimlaghai mtoto akafanya naye mapenzi unadhani hakustahili kufungwa? Afande Sele is very right on this aspect except you being unlettered you know not what is fact in issue. Kama hujui kitu ni bora ukanyamaa kuliko kuzungumza ukajulikana ujinga wako.

      Delete
  3. the problem with the bulk of Tanzanians hate to be told the truth. yes, even in death kanumba was a Malaya. aliharibu watoto wa watu wengi sana na kila mtu analitambua hilo. ila kwa jadi ya watanzania walio jaa unafiki wanalifumbia ilo macho kisa kafa. kafa so what?? wote tutakufa but behold truth be told. Afande Sele big up.

    ReplyDelete
  4. yes ni kweli alikuwa akimlaghai lulu na huyu binti was too young a teen unaweza ukamwambia kitu na jinsi alivokuwa akimuamini kanumba kila kitu kwake was right as long as kanumba say na sio lulu tu kaharibu wengi tuu na kila mtu anajua lakini hili lililo tokea limekuwa kubwa na wakati tunajua kufa ni kila mtu atakufa kwa wakati mungu aliokupangia so kanambua kafa na sababu ilikuwa whatsoever happened kama alianguke au ulevi ulimzidi na hayo maradhi alio nayo imechangia ndio mipango ya mungu so lulu kahukumiwa kifungo tujilize kanamba atarudi ninkama dhulma mumefanyia lulu

    ReplyDelete

Top Post Ad