Alichokisema Zitto Kabwe Baada ya Rais Magufuli Kutohudhuria Sherehe za Kuapishwa kwa Rais Kenyatta

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Alichokisema Zitto Kabwe Baada ya Rais Magufuli Kutohudhuria Kuapishwa kwa Rais Kenyatta
Zitto Kabwe amefunguka na kusema kitendo cha Makamu wa Rais Mhe. Samia kupokelewa na Balozi Kenya ni ishara kuwa mahusiano ya Tanzania na Kenya hayapo vizuri na kudai Rais Magufuli kutokwenda kwenye sherehe za kuapishwa Kenyatta inaweza kueleweka.

Zitto Kabwe amesema hayo kupitia mtandao wake wa twitter na kusema kitendo cha Rais Magufuli kutohudhuria kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais mteule wa Kenya Uhuru Kenyatta inaweza kueleweka kwani kiongozi huyo hakuweza kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame.
"Makamu wetu wa Rais kupokelewa na Balozi ( sio hata Waziri wa Mashauri ya Kigeni au Waziri mwengine) ni dalili kuwa mahusiano yetu yanalega lega. Rais kutokwenda Kenya inaweza kueleweka maana hata Rwanda hakwenda kwenye uapishaji wa Paul Kagame" aliandika Zitto Kabwe.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sawa mkuu wa itifaki tumekusikia

    ReplyDelete
  2. Zitto Zuberi Kabwe kwa mara nyingine amekuwa mchambuzi wa Uhusiano wa Kimataifa.....!!!!
    Hongera Zitto Zuberi Kabwe... Sasa wewe unafanya kazi katika ofisi ya Raisi wa wapi...??
    Je uliandamana na Msafara wa nani?
    Katika mitikasi yako Ulitambulishwa kuwa wewe ni Mbunge kutoka chama gani huko nchini kwenu Twira.
    Mimi nataka kukutembelea huko kwenu je wakati gani utakuwa muafaka kuweza kukuona .
    Kile kitecho chako umesha kujua kilipopotelea?
    Mie nnayo Nokia ya kamata mwizi ... Je nnaweza kukuazima kwa muda wa siku 21 yaani wiki tatu... Uko tayari kuichukua .. Kwa sharti usije kuniambia imepotea au kuvunja slini yake manake nasikia wewe ndio zako. Huwa hurudishagi mie niko tiyari kukuazimaga.. Karibu sana Dogo. Inakungoja.
    Ya Siasa waachie wana siasa wewe tuzungumzie ya kuazimana Nokia ni bola kuliko Kitechno chako kilicho potea.

    Uhuru Oyeeee..... Magufuli Oyeeee..... Tanzania Oyeeee na Kenya oyeeee......

    ReplyDelete
  3. Sasa Zitto mie mbona sikuelewagi!!!
    Umeshalifikisha Jeshi la Polisi and uko katika shamra shamra za Uapishwaji?
    Kwani uligombea Uraisi?? Umeupataje.... Hiyo Dili Heavy...??

    ReplyDelete
  4. We Dogo!!! WEWE na MAGUFULI wapi na wapi...!!!
    Ameendaaa..... Hajaenda.... wewe inakuhusu Nini?
    Au unafikiri ni saizi yako.
    Kaa katika level yako wewe siyo msemaji wa Uhusiano na Itifaki Za Kimataifa.
    Mbona unajitia tia katika kila kitu.
    Vingine havikuhusu wewe umo tu. Kinachokuwasha kama Mzazi anaetaka kuzaa ni NINI?

    Hivyo wewe uko Salama huko Juu??
    Umezidi Dogo mpaka Unaboa sana. Wewe ni Bora tukupeleke Kusaidia Ujenzi wa Madaraja ya Standard Gauge Rail. Ili uwe unatupa taarifa za wafanyakazi kama wanazembea au wamelala hakuja kazini.
    Hii itakufaa manake we ni mchocheaji na mchonganishaji kitabia(Ni Hulka yako mtoto wa Zuberi Kabwe)

    ReplyDelete
  5. 2020 inakuja Zitto itanidi uachie kamba mwenyewe. Wana Kigoma hawakupi ulaji WA kilaini tens. Nunua gari la barafu uuze Dagaa na ile dili ya Kigamboni tsunami �� yake iko njiani inangoja GO AHEAD. Sinema hiyo ITAKUWA tamu kuliko ya RUGEMALIRA NA HARBINDER...sellingi Mpya na filemu mpya. Kitu na boxi

    ReplyDelete
  6. Kwa style hii ya upinzani ni ndoto kuiondoa CCM madarakani. Kama mwenyekiti wa chama hana habari na shughuli ya kujenga chama katika grassroots unategemea nini wakati wa chaguzi. Huwezi kumsikia Zito akihimiza uimarishaji wa chama chake bali kila kukicha yuko katika kukosoa issues za kitaifa na in particular Raisi Magufuli . mwananchi wa Nantumbo hiyo itifaki itamsaidia nini? Au itamshawishi vipi kujiunga na ACT?

    ReplyDelete
  7. Kule chamani nilivyo kwenda namuona siku hizi anabadilisha CD za Play station 4.
    hana kazi nyingine . kumbe moja ya mashariti ya kuingia nchini twita alipewa na kukubali mojawapo ilikuwa awe active member wa GTA ( Grand Theft Auto) . Na kweli ndiyo kazi aliyonayo ma wakati unapita murua.
    Na zaidi ya hiyo ilikuwa kile Kitechno chake kinamledea data za upotoshaji.. Bahati mbaya Hakipo tena.
    Kwa hiyo kwa sasa yuko na PS4 ile mbaya. Chama ameshakizira na anatafuta Bao la Usolo. Linachongeshwa sasa. Pindi likimalizika Karibuni. Ekti Oyeeeeeee!!! Zito Oyeeeeeee...!!!

    ReplyDelete
  8. Zitto Mpaka tunakutilia wasi wasi.
    Sasa unataka kuchonganisha Magu na Uhuru???
    Wewe Akili zako Mbovu... HIVYO ULIVYOKUWA SHULE ULIPIGWA MARA NGAPI KWA UCHONGANISHI?
    ITABIDI TUANZE KUANGALIA FAILI LAKO TO ZAMA ZILE... NDIYO MANA MBOWE AKAKUFUKUZA NA HAPO UNAKIMBIWA.
    SASA SIJUI MAMA DOGO HAPO NYUMBANI NA MAJIRANI... HUBEBEKI ZITTO!
    BUNGENI YALE YALE
    MITANDAONI YALE YALE
    KWA MAJIRANI YALE YALE.
    WEWE BINADAMU GANI....???

    ReplyDelete

Top Post Ad