Baada ya Mahakama Kutupilia Mbali Kesi ya Mobetto dhidi ya Diamond, Wakili wa Hamisa Kafunguka Tena

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakili Walter Goodluck ambae ni Wakili wa Hamisa Mobetto kwenye kesi dhidi ya Mwimbaji staa wa Bongofleva Diamond Platnumz ambapo amefunguka baada ya Mahakama kutupilia mbali kesi hiyo.

Goodluck amesema “Kimsingi shauri halijafutwa na kimsingi sio kwamba Hamisa Mobetto ameshindwa hiyo kesi bali kilichotokea ni maswala ya uchapaji, kuna makosa ya kiuchapaji yalitokea na wenzetu wa upande wa pili wanaomuwakilisha Diamond waliweka pingamizi la kisheria kutokana na yale makosa ya uchapaji”

Unaweza kumsikiliza zaidi Wakili Goodluck kwa kubonyeza play hapa chin:
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mungu mkubwa we are together Hamisa Mobeto even though i dont know you but sipendi kuona mwanamke kuonewa mtoto damu tako na wewe mama naseeb sio vizuri ku side upande mmoja wote ni wajukuu zako isitoshe Hamisa always yuko na nyinyi bega kwa bega bega leo mumegeuka kama vile hamumjui kabisa mama naseeb ujue Mungu yuko

    ReplyDelete
  2. kiko wapi, mazuzu yanajifanya kumtukana Hamisa kumbe hayajui shiria yoyote. na Dai kaona mambo hayaendi vizuri karudi tena kwa Hamisa kisiri. Bi masumbuko zidi kupiga picha uk. but mahaba kwa Hamisa yako palepale. Mama Sandra jishaue tuu, siku yakikutokea puani pia uandike.

    ReplyDelete

Top Post Ad