CCM Yavuna Wanachama Hawa Kutoka Upinzani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

CCM Yavuna Wanachama Hawa Kutoka  Upinzani
HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) ambayo inaendelea na vikao vyake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo iliwapokea na kuwarudisha katika chama hicho wanachama kadhaa kutoka vyama vya upinzani ambao walijitokeza mbele ya kujieleza na hatimaye kuomba kujiunga na chama hicho.

Miongoni mwa wanachama walipokolewa ni Profesa Kitila Mkumbo, Samson Mwigamba, Edna Sunga (wote kutoka ACT-Wazalendo) (kutoka ACT-Wazalendo), Lawrence Masha na Patrobas Kitambi (Chadema) na wengineo.

Mwenyekiti wa CCM Taifa, John Pombe Magufuli amewapongeza kwa kujiunga na kila alichosema chama bora na kinachowatetea wanyonge.  Alisisitiza pia kwamba hatua yao ya kujiunga na chama hicho isije ikawa majaribio bali wahakikishe uamuzi wao huo uwe wa kudumu na wakitetee chama hicho kwa muda wote wa maisha yao.

Wakati huohuo, baada ya Magufuli kuisomea NEC barua ya kuomba msamaha kutoka kwa aliyekuwa mwanachama wa chama hicho, Sophia Simba, ambaye alifukuzwa uanachama mwaka huu, halmashauri hiyo ilimrudisha kwa kauli moja.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad