Dkt Shika Amzimia Ray C Asema Ajiwezi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Dkt Shika Amzimia Ray C Asema Ajiwezi
DAKTARI Louis Shika ambaye alipata umaarufu mkubwa baada ya jaribio lake la kununua nyumba za mfanyabiashara Said Lugumi, ametoa mpya baada ya kudai kuwa anaguswa na muziki wa mkongwe Rehema Chalamila ‘Ray C’.

Akipiga stori na Risasi Mchanganyiko juzikati, Dr Shika alisema katika Tanzania, hakuna msanii yeyote wa Bongo Fleva ambaye anamhusudu zaidi ya mwimbaji huyo anayesifika kwa kuimba na kucheza.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nadhani wanaendana, kwasababu hata yeye Ray C aliwahi kusema safari hii anataka mwanaume mtu mzima, umri mpaka miaka 70

    ReplyDelete

Top Post Ad