Zari Aliamsha Dude Amnanga mzazi mwenzake.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mipasho! Mwanamitindo mjasiriamali, Zarinah Hassan ‘Zari The BossyLady’ ambaye aliingia katika mtafaruku wa maisha yake ya kimapenzi, kwa mara nyingine juzikati alionyesha kuwepo kwa kutoelewana kwao baada ya kuliamsha dude kwa kutoa maneno ya kumnanga mzazi mwenzake.

Awali, vyanzo vyetu vilivyo karibu na mrembo huyo mwenye watoto watano, alisema kwa sasa hana uhusiano mzuri na baba wa watoto wake wawili, kwa kile kinachosemwa kuwa ni kitendo cha mwenzake huyo kuendekeza mapenzi na wanawake wengine.

“Ni kama mchezo unaelekea mwishoni hivi sasa, maana maneno na ugomvi kati yao hauishi, jamaa anafanya kazi kubwa kuficha kuhusu huu uhusiano wake kuwa juu ya mawe, lakini ukweli ni kwamba hakuna dalili za wawili hawa kukaa tena imara kama zamani,” kilisema chanzo hicho.

Katika tukio la hivi karibuni, mwanamama huyo aliandika katika mtandao wake maneno yenye kumlenga mzazi mwenzake, akisema anaendekeza wanawake na watoto wengi na kwamba badala ya kuona anauza kazi zake nyingi za muziki, yeye amekuwa hodari wa eneo ambalo hahusiki.

Katika kumnanga huko, Zari alisema endapo mtu anatafuta ubalozi wa kondom, ambacho ni kifaa cha kinga dhidi ya magonjwa ya kuambukizwa kupitia ufanyaji mapenzi, basi hana haja ya kuhangaika kumpata, kwa kuwa tayari mtu.
Chanzo: Global Publishers
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. alijiona kuzaa haraka kutamzuia Dai asipende mademu wa tz. pole bi masumbuko mko wengi na anampenda sana Hamisa ila hataki kujionyesha.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hataaa Hamisa hapendwi kwa tariff yako, huyu mond ana pepo la ngono tu ndio linalomsumbua, kulikuwa na wema, Jokate, Penny ndio atakuwa hamisa, na wengi zaidi ya hao aliyowapitia hit and run, kama akina Aunt Ezekiel, Irene, Wolper heheeee huyu ndogo ni humanizer mpka anachosha, hata kuzisikia habari zake kila siku mpka michosho, mwanaume suruali mkononi kwa karne hii ni mshamba tu, hata kam ndio anazitafuta hizi kiki kwa nguvu zote, kuwatumia wanawake

      Delete
    2. na ameshatangaza kabisa kwamba HAKOMI! 'BibiBomba' ajipange kama sio kujibeba

      Delete

Top Post Ad