Haji Manara Afunguka Nia Yake ya Kugombea Urais wa Nchi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Haji Manara Afunguka Nia Yake ya Kugombea Urais wa Nchi
Msemaji wa Klabu ya Soka ya Simba Haji Manara, amesema anampango wa kugombea urais na anaamini atafanikiwa.

Akipiga stori na Big Chawa kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Haji Manara amesema kazi zake anazofanya sasa zimemfanya aache hesima kubwa, kitu ambacho kinampa ujasiri wa kufikia uamuzi huo.
“Unajua mi nakwenda kuwa rais wa nchi siku moja, mimi nakwambia Mungu akinipa uhai na majaliwa, nakwenda kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania”, amesema Haji Manara.
Msikilize hapa chini na akitaja watu gani hatawaweka kwenye baraza lake la mawaziri.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haji Manara...!!!
    Mie naona Bora tumalize ya Wema kwanza.
    Ajili mdada mpaka naombea Kufa.
    Haiwezekani wewe uanze ya Mbali na ya Karibu yapo tena ya Maana au umwemwachia Hamolapa?
    Mie kula yangu ntakupa kiushkaji lakini huko 2027. Manake Jembe hili la sasa tutaliongezea Muda au unasemaje Mkuu?
    Tena Tutakuja na jezi zetu za kumechisha kama siku ile.
    Simba Oyeeeeee......!!!!

    ReplyDelete
  2. Haya sasa, Wema amesharudi CCM, vipi kuhusu kumuoa?? Maana ulighairi kumuoa baada ya yeye kuhamia chadema.....

    ReplyDelete

Top Post Ad