Jibu La Afande Sele kwa Mrisho Mpoto "Acha Mambo ya Kizamani"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya msanii wa muziki wa asili nchini Mrisho Mpoto kumtaka rapa Afande Sele kuacha kumtaja marehemu Steven Kanumba kwa mambo mabaya, rapa huyo mwenye makazi yake mkoani Morogoro amemtaka Mrisho Mpoto kuacha mambo ya kizamani.

Wawili hao wamefikia hatua hiyo baada ya jana rapa Afande Sele kuandika ujumbe wa kusikitika baada ya kusikia Elizabeth Michael ‘Lulu’ kahukumiwa miaka miwili jela kwa kosa la kumuua aliyekuwa mpenzi wake, Steven Kanumba bila kukusudia.

Katika ujumbe wa Afande alidai yeye hakuhudhuria mazishi ya staa huyo wa filamu kwa madai alimsababishia Lulu matitizo kauli ambayo ilipingwa na Mrisho Mpoto kwa kudai marehemu hasemwi kwa mabaya.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu afande sele kaishiwa ndo maana anasema hovyo hovyo!!! mpaka busara zimemuishia!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Cha hovyo alichosema ni kipi? unaona sahihi watu wazima kufanya mapenzi na watoto? amka acha ushabiki usio na tija.

      Delete

Top Post Ad