Kalapina Afunguka Kuhusu Harmorapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa muziki wa rap Bongo, Kalapina amefichua kilichompoteza Harmorapa katika game baada ya kung’aa kwa kipindi kifupi.

Rapper huyo ambaye pia mtangazaji wa tv, amekiambia kipindi cha The Playlist, Times Fm kuwa kupotea kwa Harmorapa kunatokana na kuwa kiki nyingi kuliko kazi.

“Kuna dogo mmoja alikuwa ana kiki alioneka hata wakati Mhe. Nape anatolewa kwaju katika mambo ya watu wasiojulikana yanaanza kurise akatoka baruti anaitwa nani yule mtoto? (Hamorapa), yeah!!, zilikuwa ni kiki kazi ndogo mcheki sasa yupo wapi” amesema Kalapina.

Amendelea kwa kusema kuwa kiki ni vitu vya uongo uongo na havina maana katika maisha ya kimuziki ya msanii badala yake wasanii wafanye kazi nzuri, waandike mistari ambayo inawashika watu mpaka mtu ajiulize huyo alifikiria nini kuandika hii ngoma
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hamolapa akisha funga ndoa na Wema .
    mambo yatakuwa mchongo.
    Dogo ana strategies and the bleni.
    tena kiki kwa qema itakuwa kama Domo vile.kwa wema imekiki
    na hamolapa yuko njiani. Tumuombee mungu

    ReplyDelete

Top Post Ad