AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Majibu yake kwa maswali hayo ni yafuatayo:
Amesema kuwa hakuna hukumu tofauti inayoweza kutolewa kabla mhukukiwa hajatumikia theluthi ya kufungo chake ambacho kwa Lulu itakuwa ni kuanzia miezi mitano.
Ndani ya hiyo miezi mitano dhamana inaweza kuombwa wakati wakisubiria rufaaa ianze kusikilizwa. Kwa maana hiyo anaweza kutoka kwa dhamana muda wowote mahakama ikmpatia dhamana.
Huwezi kuacha kijana wa miaka 22 mwenye maisha marefu mbele yake ahukumiwe kwa uhalifu kwa sababu ya suala la muda, kwani itaharibu maisha yake ya mbele. Kwa hiyo rufaa imelenga katika kuondoa tatizo hilo.
Kukata rufaaa na kuomba dhamana na kufanya kazi za jamii vinaweza kufanyika kwa wakati mmoja wakati suala hili likisubiriwa kusikilizwa na mahakama ya rufaa.
Ujumbe wa Kitabala katika Instagram ni ufuatao:
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
jamani lulu miezi mitano mbona bado ni mbali sana
ReplyDeletemi sijamuelewa (kibatala) naomba mliomuelewa mnieleweshe vizuri ina maana hata hiyo rufaa haiwezi kukatwa mpka atumikie theluthi ya kifungo chake???? au hata ikikatwa mapema itabidi isikilizwe baada ya hiyo miezi tano?
ReplyDelete