Lema Ataka Mwigulu Nchemba Kupimwa Mkojo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Lema Ataka Mwigulu Nchemba Kupimwa Mkojo
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amemjia juu Waziri  wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt Mwigulu Nchemba na kufikia hatua ya kusema waziri huyo apimwe mkojo ili kuangaliwa kama anashiashiria vya matumizi ya dawa za kulevya. 

Lema amesema hayo baada ya kauli ya waziri huyo kuwakosoa upinzani kutumia tukio la kushambuliwa kwa risasi Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu kama ajenda katika kampeni za uchaguzi wa marudio na kusema kwamba chama hicho kimefilisika.

Lema aliandika hivi " Nafhamu Mh Mwigulu atumii madawa ya kulevya au kilevi, lakini kauli zake kwenye mikutano ya hadhara ya kampeni za udiwani zinaleta wasiwasi nakuona ni vyema nikashauri apimwe mkojo. Anayesema eti kupigwa Lissu risasi hakuna mahusiano na kuomba kura?"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad