Lulu Amefungwa Miaka Miwili Lakini Atarudi, Mwanangu Hatorudi Wanaonibeza Waniache Hakuna Mwenye Uchungu Zaidi Yangu- Mama Kanumba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Lulu Amefungwa Miaka Miwili Lakini Atarudi, Mwanangu Hatorudi Wanaonibeza Waniache Hakuna Mwenye Uchungu Zaidi Yangu- Mama Kanumba
Siku moja baada ya Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuhukumiwa kifungo cha kutumikia jela miaka miwili kwa kosa la kuuua bila kukusudia, mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mutegoa amesema wanaombeza kwa kuishukuru Mahakama wamuache kwa hakuna mwenye uchungu zaidi yake.

Jana baada ya Mahakama Kuu kumtia hatiani mwigizaji huyo na kumpa adhabu ya kifungo cha miaka miwili jela, Mama Kanumba aliishukuru Mahakama akisema imetenda haki jambo ambalo lilizusha gumzo wengi wakisema hakupaswa kufurahia adhabu hiyo.

Akihojiwa na waandishi wa habari nje ya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam jana Jumatatu baada ya hukumu kutolewa alisema anashukuru kwa kuwa haki imetendeka na kwamba atakwenda kumzika rasmi mtoto wake.

Hata hivyo, Mwananchi leo Jumanne amesema asibezwe kwa kauli hiyo kwa kuwa hakuna anayeujua uchungu anaoupata kila siku.

“Mimi sijui kama ninafurahia kama wanavyodai, waulize kwamba, yeye (Lulu) alipokufa mwanangu Kanumba alifurahia? Mimi ni mkristo, sipendi kuona baya likimfika binadamu mwenzangu, lakini Lulu ameenda miaka miwili jela na atarudi, je, mwanangu atarudi lini? nitamwona wapi tena? Amehoji.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Uwe mkweli. Ni mienendo ya mwanao ndo imemuua mwenyewe. Anasa, pombe, skijijua ni mdhsifu asingechezea maisha. Mauti aliyatengeneza mwenyewe. Alikuwa ni mtu mzima aliyetembe na binti mwenye umri mf
    dogo. Kwa sasa tunaita ni ubakaji. Ingekuws dheria za nchi nyingine angefungwa, kufukzwa kazi. Lulu alitumika , alikuwa controlled kikazi kwa mapenzi. Ni mwanao alilewa. Ni mwanao alidhika panga. Acga kufurahia, ndio tutasema ukweli daima. Mimi ni mwansmke ksma wewe. Pia unamjukuu kutoka kwa mwanao. Humhurumii huyo mjukuu kumhangaisha mama yake.kama unabmspenzi na mjukuu wako ungefikiri ksbla ya kesi hii. Sasa mjukuu mamake anayemlisha, anayemtunza na kumpenda yupo jela. Unafurahia nini.halafu utaanza vita mpya kutaka kumtembelea huyu mjukuu. Ona haya .ingekuwa mimi lulu nidingekuruhusu kamwe. Najua mwanao amekutwa na mauti ni mwenyewe aliyasabsbisha kwa kumpiga binti. Hata mimi ningemdukuma nijiponye. Alijitetea tu. Udhaifu na ulevi wske ndo uliomuua kanumba. Umeshaenda kanisani ukaambiwa freemason leo unasema Lulu sasa ni lipi unaloliamini.inakubifi utulie, omba, na ukazsne kujikwamua mwenyewe kimaisha badala ya kudingizia watu. Kanumba hatarufi, ni wewe ndo unaishi.hata ukimfunga Lulu atakapotoka utazidi kumchukia. Safisha moyo wako badala ya kuwrka chuki zisizo na msingi.

    ReplyDelete
  2. ni kweli kanunba hatorudi na wakati wake umeshafika hio ilikuwa ni sababu lakini kabla ya hapo lulu alimkuta kalewa na huo ugunjwa alionao ba kuanguka kujipiga chini ndio inekuwa sababu ya umauti yake lakini tome yake ilishafika kwa hivyo sioni sababu ya lulu kupewa adhabu ya kifungo tunamuombea atoke na wewe mama kanumba hujiulizi hivo kwa nini mwanangu alikuwa kimapenzi wakati lulu kalikuwa kabinti kadogo alimtumia kisanii lakini alikuwa watu waone kama ni usaidizi but kusema unaskuru sheria imechukuwa mkondo wake its wrong

    ReplyDelete

Top Post Ad