Ray: Nipo Njia Panda Siwezi Sema Lulu Kama Ameonewa au Haki Ilitendeka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ray: Nipo Njia Panda Siwezi Sema Lulu Kama Ameonewa au Haki Ilitendeka
Mwigizaji wa filamu, Vicent Kigosi maarufu Ray amesema uamuzi wa Mahakama dhidi ya msanii mwenzake Elizabeth Michael ‘Lulu’ umemfanya abakie katikati bila kuwa na msimamo wowote.

Ray amesema hatua hiyo inatokana na uwezo wake mdogo wa kutofahamu masuala ya kisheria katika uendeshaji wa kesi ya Lulu hivyo hawezi kusema kama ameonewa au hakustahili kupewa adhabu hiyo.

“Mimi nipo neutral (katikati) , sijui lolote na siwezi kujadili hukumu yake kama haki ilitendeka au haikutendeka,” amesema.

Alipotakiwa kutoa maoni yake kama sehemu ya msanii wa tasnia hiyo kwa Lulu kutumikia miaka miwili, Ray amesema  ameguswa na hukumu hiyo.

Amesema ni jambo la kushangaza kuona msanii mwingine akifurahia matatizo aliyokutana nayo Lulu: “Kama binadamu huwezi kuona msanii mwenzako na ukafurahia ni jambo linaloumiza sana,” amesema.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad