Mange Kimambi Afunguka baada ya Lulu kupigwa mvua ya Miaka Miwili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


From @mangekimambi_ - Breaking newzzzzzzzz..... Lulu amekutwa na hatia ya kuuwa bila kukusudia na amehukumiwa miaka miwili jela.......
.
.
.
Dah huyu jaji anawaza kama mimi posti yangu niliyoposti masaaa mawili yaliyopita nilisema ningekuwa jaji ningemkuta na hatia ila ningempa adhabu ndogo mwaka mmoja au miwili jela.......
.
.
Jaji ametenda haki....
.
.
Sio kama nimefurahi Lulu kafungwa nilichotaka ni kuona hakuna double standards, nilitaka kuona haki inatendeka. Na Lulu ana deserve hiyo miaka 2 jela labda itampa muda wa kufikiria how her actions affected Mama Kanumba na familia yake. Labda akitoka atakuwa more humble......
.
.
.
Lakini still mwanasheria wa serikali achukulie hatua za nidhamu na afukuzwe kazi!! Alijaribu sana kusabotage kesi ili amsaidie mtuhumiwa......
.
.
PS: December Magu anatoa misamaha kwa wafungwa, sidhani kama atawasahau wafungwa wa kumpa kiki ya kufungia mwaka kama Lulu na kina Babu Seya maana ile barua ya kina Baba Seya had Bashitel written all over it."
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sheria kandamizi . Sheria baba zinakandamiza wanawake. Kwa wote mnaofurahia wanaume kwa wanawake, mkijua wazi Lulu amekulia kwenye michezo ya uigizaji. Mnaona dunia nzima mazingira hayo kwa wanawake ni magumu sana. Lulu alikuwa mdogo. Nyinyi kumhukumu badala ya kumtetea nanyi pia mnaendeleza kunyanyaswa kwa mabinti nchini na Wanaume wazima, maofisini. Ni ujinga mmoja wapo. Na hawa wengine wanaomzungumzia vibaya toka marekani wakijua wazi kwenye filamu kuna vita kubwa hasa kwa wakati huu wanawake wengi wamejitokeza kukemea mambo kama haya yafanywayo na wanaume wenye madaraka makubwa. Wanalazimisha sex , kiss, na mengi tu. Nyi mnamtwishwa mzigo huyu dada kwa sasa mkijua aliyoyapitia si lele mama. Oneni aibu na muanza kujikomboa kifikra. Tanzania bado Wanawake wengi wanamazingira magumu kazini na wakidharalishwa kijinsia.Lazima wanawake muungane msaidiane kulifichua hili. Wangapi mmelazimishwa sex kupanda vyeo. Lakini mnaogopa kuliweka wazi. Wanaume wengi hamtakuwa salama. Huyu aliyekufa, mmeambia alikuwa mgonjwa. Hata baada ya kuwekwa wazi mnamtuhumu Lulu. MMeambia alikuwa anakunywa Wiski, pombe kali sana, hamjui labda pia alichukua vidonge. MMeambiwa alikuwa na panga Bado mnampa Lulu adhabu wakati alikuwa anajitetea kwa kumsukuma tu. Je wewe ungebaki upigwe na panga? Achani unafiki.

    Naomba sana LULU aachiwe Huru.
    LULU HANA MAKOSA YA KIFO cha KANUMBA. Kanumba Alishalewa, Alijijua anamatatizo kiafya, Kumtawala rafiki kama unammiliki hii imepitwa na Wakati.
    LULU ARUDISHWE NJE NA APEWE MSAADA MKUBWA WA KUDILI NA HILI. Msimkatishe maisha yake kwa visa kama wengi wanaowakatisha maisha mabinti wadogo.
    FREE LULU.

    ReplyDelete
  2. Acha mahakama zifanye kazi zake.
    Lulu hakuua. Legally alijisalimisha kwa kumsukuma mtuhumiwa. na hili si kosa kisheria. Halipo kokote duniani. Acheni visa, wivu, na majungu. Sheria haijamtendea lulu haki.

    ReplyDelete
  3. LULU AACHIWE HURU. KANUMBA ALIPASWA KUMLINDA NA KUMTUNZA MTOTO SIO KUMTUMIA, KOSA NI LA MAREHEMU LULU ANAPASWA KUWA HURU.

    ReplyDelete

Top Post Ad