Mswada Uliopelekwa Bunge la Peru Kuzibeba Italia, Chile Kombe la Dunia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mswada Uliopelekwa Bunge la Peru Kuzibeba Italia, Chile Kombe la Dunia
Bado kuna tumaini dogo kwa Italia au Chile kufuzu kwa fainali zijazo za Kombe la Dunia nchini Russia, yote ni kwa sababu ya muswada uliopelekwa katika Bunge la Peru utakaofanya Shirikisho la Soka la nchi hiyo kujiaonda moja kwa moja Fifa.

Chile ‘La Roja’ ilipoteza nafasi hiyo baada ya kufungwa 3-0 na Brazil katika siku ya mwisho na timu hiyo kumaliza nafasi ya sita, Wakati Italia wenyewe walifungwa bao 1-0 na Sweden katika mchezo wa mtoano na kuaga mashindano hayo.

Tofauti na Peru iliyofanikiwa kufuzu kwa fainali za mwakani baada ya kushinda 2-0 dhidi ya New Zealand.

Hata hivyo, Peru ‘Libero’ sasa wanaweza kupoteza nafasi hiyo, endapo serikali itaingilia masuala ya soka jambo litakalofanya Peru kupoteza tiketi yake ya kucheza Kombe la Dunia.

Mazingira hayo  yanafunga mlango kwa timu za Italia au Chile kupata nafasi ya kufuzu kwa fainali za mwakani.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad