Mwigulu Akanusha Madai ya Rais Magufuli Kupendelea Kanda ya Ziwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwigulu Akanusha Madai ya Rais Magufuli Kupendelea Kanda ya Ziwa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amesema kuwa si kweli kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli anapendelea Kanda ya Ziwa kama alivyozungumza Mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa.

Nchemba ameyasema hayo leo bungeni mjini Dodoma baada ya Mbunge huyo wa Iringa kuibuka hoja hiyo . Ambapo Waziri huyo amesema kuwa amekuwa Rais huyo amekuwa akisikiliza vilio vya wananchi pale anapokuwa eneo husika moja kwa moja.

“Kuna hili suala la kusema Rais anapendelea kanda ya ziwa,nataka niweke kumbukumbu sawa Mh. Rais si kwamba anapendelea Kanda ya Ziwa, ila Rais amekuwa anasikiliza vilio vya wananchi pale anapokuwa eneo husik,a moja ya jambo ambalo nataka nitumie kumbukumbu Mh. Rais alipokuwa Bagamoyo wananchi walipolilia eneo la Magereza alilitoa hapo hapo, huku sheria ikiwa inataka eneo lile litumike kwaajili ya Magereza,”amesema Waziri Nchemba.

“Lakini kwakuwa kilio cha wananchi kilikuwa kikubwa, na huko sio Kanda ya Ziwa ni Pwani alilitoa hapo hapo hata akusubiri maelekezo ya Wizara kukaa kama alivyosema Kanda ya Ziwa, pale aliamua hapo hapo alisema wananchi wapewe eneo hilo na hivyo ndivyo anatolea utatuzi wa changamoto za wananchi na hicho ndicho kilichomfanya achaguliwe.”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwigulu usipoteze wakati na sauti kuwajibu wasiompenda na kuona Magu anafanya nini.
    Magu chake chake pemba no kwao Newala ni kwao Hai na simiyu ni kwao Dodoma na Daisalama ni kwao pangani na MIYUJI MPAKA Risimo ni kwao
    Magu ni araisi tulimpa nchi yetu ili atutumikie na Amekibali mtoto wetu kwa Roho Moja na Inaonesha na Lidhihirisha katika utemdaji wake.
    watasema usiku watalala.
    Hao tunawajua mbinu zao na Nia zao potofu.
    Magu tuko nae mpaka 2029.
    Mungu ampe afya na Uzima.
    wasagaji sumu mtasaga sana sisi na Magu na Magu na sisi.
    angalia miezi 24 kafanya maajabu ya aqamu ngapi zilizo tangulia.
    MZEE MWINYI ALIKIRI KWAMBA HUYU KALE SUNAMI.. SQADAKTA DR.MWINYI
    MAGU IS A GAME CHANGER IN AFRICAN LEADERSHIP SASA HIVI MATAIFA MENGI YANAMUIGA. TENA MAGU ROHO YAKE NZURI
    ANGALIA STALINI ALIPELEKA WAPIGA KELELE MIL 2 SIBERIA NA AKAUA LAKI 750.
    NA KWELI ALIIBADILISHA MCHI KTK MIAKA MITANO YA MWANZO.
    HAPA KAZI TU. HUWEZI NYAMAZA ANGALIA USTAARABU MWINGINE.

    ReplyDelete
  2. hahahaha! Hao wabinafsi wanataka wapate wao tu, kipindi kile shule nyingi na nzuri zilipo jengwa 'kwao' walikaa kimya, tena walijisifu wao ndio wasomi,wajanja kumbe wezi tu mfyuuuu wote wakasomea uhasibu, ukienda TRA wamejaa tele, WIZI-MTUPU ......hivi sasa maendeleo kila mkoa, roho zinawauma eti anapendelea!! Mnataka mikoa yote iwe mibovu, kwenu tu ndio kupendeze ili muitwe Geneva ya Afrika msonyooooooo.....MTANUNA, MTACHONGA sana, lakini JPM wembe-ni-ule-ule.......HAPA-KAZI-TU! Mwenye wivu ajinyonge...mupo wanokoooooooooooo

    ReplyDelete

Top Post Ad