Nyota ya Dkt Shika Yazidi Kung'aa Atunukiwa Kuwa Mgeni Rasmi Katika Mahafali ya Chuo Kahama

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nyota ya Dkt Shika Yazidi Kung'aa Atunukiwa Kuwa Mgeni Rasmi Katika Mahafali ya Chuo Kahama
DKT Louis Shika ambaye amekuwa maarufu kwa muda mfupi kama ‘bilionea wa nyumba za Lugumi’ wakati wa kunadi nyumba za Said Lugumi jijini Dar es Salaam, ametunukiwa heshima ya kuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya Chuo cha Afya  kilichoko Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga,  ambako amepokelewa kama mfalme.
Mapokezi hayo ya kipekee yameanzia uwanja wa ndege wa mjini Kahama alipowekwa kwenye gari la wazi huku msafara mkubwa uliokuwepo ukijumuisha na bodaboda,  magari na mamia ya watu mbalimbali waliojitokeza kumwoma na kumlaki.
Ziara hiyo ya Dkt. Shika mkoani humo itamalizika jioni hii chuoni hapo ambapo anatarajiwa kurejea kwa ndege Dar es Salaam usiku.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. guys are you serious?? kwelii?? kwa sababu zipi ambazo hamzijui tu mmejikuta tuu mmemualika, and y not before known? what do u expect from him?? or u just need to see him and later atasahaulika mtarudi kwa kidoti....
    Think wisely...

    ReplyDelete

Top Post Ad