AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Baada ya taarifa hizo Irene Uwoya alifunga safari baadae na kwenda kutoa pole kwa familia ya Ndikumana ambapo ameonekana akiwa na Mtoto wao Krissh juu ya kaburi la Ndikumana na kuandika “My trust is in you …R.I.P baba krissh”
Kwenye hizi picha hapa chini anaonekana akiwa nyumbani kwa kina Ndikumana na ndugu zake na juu ya kaburi la Ndikumana pia ambapo Irene alipewa baraka na Baba Mzazi wa Ndikumana
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK