Tahiya Amuangukia Zari Baada ya Kusambaa kwa Video Akiwa na Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tahiya Amuangukia Zari Baada ya Kusambaa kwa Video Akiwa na Diamond
Mrembo na mtangazaji wa TV, Tahiya J. George, amemuomba radhi Zari The Bosslady kutokana na hivi karibuni kusambaa video akiwa na Diamond iliyozua utata. Amedai kuwa watu wengi hawajui kuwa yeye na Diamond ni ndugu lakini akadai kuwa kama video hiyo ilimkwaza Zari, mchumba wake na Diamond basi amsamehe.
“I do respect Zari a lot,” ameiambia Dizzim Online. “I respect Diamond a lot as well, and I respect all kama mke na mume. And kama Zari amechukulia vibaya ile situation I think it’s time I apologize because I never really meant anything bad,” aliongeza.

“Sikutemea kama watanzania wangeweza kuiona issue ile vile.”

Tahiya aliingia kwenye headline baada ya kupost video Snapchat huku kitandani kukiwa na Diamond Karanga na watu kuvumisha kuwa alikuwa Madale kwa Diamond. Amesema kwa miaka mingi sana amekuwa akitoa support kwa kazi za Diamond na wasanii wote wa WCB.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mxeeeeeew!! mnatafuta kick tu na habari mbofu mbofu... ukipost diamond karanga unaomba msamaha??

    ReplyDelete

Top Post Ad